English at the end
Mahudhurio
- Jacka Mwambi
- Steven Milambo
- Shabani Madega
- Mtema Theobald
- Kassim Mohamed
- Grace Nuru
- Violet Yimbo
- David Mussa
KUFUNGUA KIKAO
Kikao kilifunguliwa
na mwenyekiti saa 11.00 jioni kwa kuwashukuru wajumbe
kwa kufika kwenye kikao
AGENDA YA KWANZA
- Taarifa yautekeKezaji wa maagizo ya mkutano wa januari
- Shughuli zilizofanyika
- Maendeleo
TAARIFA YA UTEKEREZAJI
- Tafsiri ya katiba
- Tafsiri ya mpango mkakati
- Ufuatiliaji wa malalamiko ya TWAFAHA kwa YOVITA.
- Usambazaji wa Ruzuku.
- TAFSIRI YA KATIBA:
Katiba
ina maelezo ya kisheria. Hiovyo kuna haja ya kutafuta mtaalam
wa kufanya Tafsiri. Kikao kiliamua kitafute mtaalam wa kutafsiri
na kuangalia gharama za kufanya tafsiri hiyo. Ili wanachama waweze
kutoa maoni kwa uhuru no lazima atiba iwe kwa Kiswahili. Kikao
kilikubaliana Madega awasiliane na Mtaalam wa kutafsiri Katiba.
- TAFSIRI YA MPANGO MKAKATI:
Jacka Mwambi
ameahidi kuandaa tafsiri ya mpango mkakati kabla ya tarehe 01.
- BARUA KWA TWAFAHA:
TWAFAHA wameandikia
barua kutoa maelezo ya kina juu ya suala la malipo ya Yovita Makoko
kutoka kwa TWAFAHA. Aidha katibu aliwapigia simu TWAFAHA kuwasisitiza
kuja na maelezo ya kina juu ya tuhuma walizotoa kwa YOVITA.
- USAMBAZAJI NA RUZUKU:
Fedha imeingia
kwenye akaunti. Viongozi walisaini cheki na Violet amesambaza Cheki
kwa Wanachama. Kulikuwa na upungufu wa kitabu cha Cheki kutokana
na kubadilika kwa kiasi cha ruzuku hivyo kulazimika kuchana cheki zilizopita.
Madega
bado hajapewa Cheki kutoka Benki mpaka tarehe 28/02/2007.
Violet aliwasilisha taarifa fupi ya usambazaji wa cheki kwa vikundi. Alisikitishwa na baadhi ya wajumbe wa vikundi hawakuzingatia muda. Alisema kwamba amefurahishwa sana na asasi ya Youth Life Relief Foundation ambapo aliwakuta watu wamefika kabla ya muda na ilikuwa asubuhi hivyo kumsaidia kufuata ratiba ya siku hiyo vizuri. Alipata tatizo Upendo ambapo alisubiri zaidi ya masaa mawili.
Mchakato wa shughuli zinazoendelea.
- Tuna maombi ya Ruzuku kwa watu wa Fireligh kwa ajili ya Mtandao wetu. Kikao kilimwagiza Jacka Mwambi kuandika “Letter of Inquiry” na ameridhia hilo.
Mengineyo:
IPG wameandaa mafunzo ya wakufunzi juu ya Unyanyapaa. Tumeomba kushiriki katika mafunzo hayo. Aidha kikao cha IPG cha tarehe 28/02/2008 AFCONET itawakilishwa na Shabani Madega.
- Mtu mwenye taarifa yoyote ya ruzuku ajulishe uongozi ili kuendeleza Mtandao wetu.
- Salum atafanya appointment na watu wa PACT na viongozi wa AFCONET kwa ajili ya uchangishaji fedha.
- Taratibu za Kadi za Mawasiliano, vitambulisho na vipeperushi za AFCONET uandaliwe.
- Mkutano wa AFCONET ni tarehe 01/03/2008 siku ya Jumamosi saa 2:30 asubuhi katika ukumbu wa Care.
KUFUNGA KIKAO:
Kikao kilifungwa na Mwenyekiti saa 1:00 jioni.
Opening of the meeting
The meeting was opened by the chairman at 5.00pm by thanking members for coming
AGENDA
1. Reports of how things passed on January meeting has been carried out
2.Activities done
3.Developments
REPORTS OF THINGS PASSED ON PREVIOUS MEETING
1Translating strategic plan
2Follow ups of complaints btw Twafaha and Yovita.
3Check distribution
Translating constitution
The
constitution has a legal explanation. There is a need to look for a
professional to do translation.The meeting agreed to look for a
professional to do translation and the cost will B considered.
In order for members to give their views effectively,the constitution must B in swahili.The meeting agreed that Madega will look for a professional to change the constitution.
STRATEGIC PLAN.
Jacka Mwambi promised to prepare strategic plan before 1st
LETTER TO TWAFAHA
We wrote a letter to TWAFAHA asking for a detailed explanation concerning the payment they made to Yovita Makoko.Also, the secretary called TWAFAHA stressing that the officers need a detailed explanation concerning the allegations they made to Yovita.
CHECK DISTRIBUTION
The money has already been sent to the
network accounts.The leaders signed checks and Violet has been
distributing checks to members. There was inadequacy of check books
following the deduction of grants that forced us to tear the
previously signed checks.
Madega has not yet received check books from the banks until 28th/02/08
Violet presented a brief report of check distribution. She said some groups are not time conscious. She praised YLRF WHERE SHE got everybody before the agreed time. Since it was the 1st group that day . It made her follow her program smoothly. She got problem at UPENDO where she waited for two hrs.
PROCESS OF ONGOING ACTIVITIES
We need to request grant from
Fireligh on behalf of our network. The meeting asked Jacka to write a
letter of inquiry and he consented to that
AOB
IPG has
planned for a workshop on DISCRIMINATION. We have requested 2
PARTICIPATE. So the IPG meeting of 28/02/2008 Afconet will B
represented by Shabano Madega.
Anybody with any information where we can get grants can inform leaders for the betterment of our network.
Salum will make an appointment for PACT and AFCONET for the purpose of fundraising
We need to meke business cards, Identification cards and AFCONETbrochures
Afconet MONTHLY MEETING IS ON 1/3/2008Sat @ care
Closing of the meeting
The chairman closed the meeting @ 7pm

Comments